Eraldius JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 1,123 Reaction score 913 Jul 5, 2013 #1 Jamani nimepata hii mobile broadband ya HUAWEI ni Vodafone mobile Wi-Fi R201 inatumia laini moja ya vodacom Sasa naombeni msaada ku-unlock hii modem niweze kutumia mitandao tofauti. Msaada jamani.
Jamani nimepata hii mobile broadband ya HUAWEI ni Vodafone mobile Wi-Fi R201 inatumia laini moja ya vodacom Sasa naombeni msaada ku-unlock hii modem niweze kutumia mitandao tofauti. Msaada jamani.