Msaada: voda wanakata salio kila nnapoweka vocha

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Habari wakuu,
hapa nna shida, ni kwamba nlipata sms kutoka voda wa kuchagua muito kwa mpigaji,
wakatoa menu yaani kujiunga na kujitoa, sasa nikajiunga nkachagua wimbo, sasa nkataka kusitisha huduma hyo, nkarudi kwenye menu yao sio namba zile za kusitisha wimbo, sasa voda wanakata salio langu kila nnpapoweka vocha na wimbo wao siutaki!
anayejua jinsi ya kujiondoa kwenye hiyo anisaidie.
 
I thnk wapigie..ila wizi huu upo sana hata mitandao mingne.
 
Habari wakuu,
hapa nna shida, ni kwamba nlipata sms kutoka voda wa kuchagua muito kwa mpigaji,
wakatoa menu yaani kujiunga na kujitoa, sasa nikajiunga nkachagua wimbo, sasa nkataka kusitisha huduma hyo, nkarudi kwenye menu yao sio namba zile za kusitisha wimbo, sasa voda wanakata salio langu kila nnpapoweka vocha na wimbo wao siutaki!
anayejua jinsi ya kujiondoa kwenye hiyo anisaidie.

mkuu kama unatumia smartphone hakikisha unzima data usage kabla hujaweka salio
 
Jaribu kuandika neno ZIMA au ONDOA then tuma kwenye namba hiyo wanayokutumia sms baada ya kukukata pesa hiyo. Sometimes huwa inakubali, kama ikigoma wapigie call center, wkuna njia nyingine watafanya wao ili ku-deactpvate hiyo huduma.
 
Back
Top Bottom