Msaada: Vipele kwa mtoto wa miezi 8

Msaada: Vipele kwa mtoto wa miezi 8

Cracker_tz

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
9
Reaction score
22
Habari zenu ndugu zangu. Mtoto wangu ana changamoto ya vipele hivi. Alipelekwa hospital wakatupa dawa ya kupaka lakini haijatoa matokeo mazuri.
2ad99d17-f63f-4841-9bb1-0d18e777d209.jpg

Msaada wenu napokea ushauri
 
Duuuh poleni mkuu

Ni vyema tu urudi tena hospital, ukawape mrejesho madoctor waliokupa hizo dawa , wanaweza kukupa msaada zaidi

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom