Siku ukiliwa ban na google utashika adabu yako na itakua too late.
Google wana kitu kinaitwa lifetime ban, yaani wewe ndio unapigwa ban kutumia google services, wewe sio account yako, ukisema unaregister kwa kutumia account mpya ikitokea any link between you and your last account hata credit card number, phone number au any information tayari computer zao zinajua wanapiga ban na hizo account mpya utakazokua umefungua. Ban ya google ya lifetime ni noma, hutoweza kutumia products zao zozote zile za development, kuanzia adsense, admob, google maps, youtube api, google wallet e.t.c, yaani ecosystem nzima, siku hiyo ndio utakuja kujua umuhimu wa google.
Achana na wizi, na hizi tricks unazotumia najua zitakua za kuwa-clikisha watu matangazo kwa kutumia javascript kitu ambacho ni cha kipumbavu, watu kama wewe ndio sababu hua naweka adblock, google watakushika tu, omba tu wasije kukupa lifetime ban maana itakulazimu utafute ecocystem nyingine na we all know google ndo wamedominate web au uachane kabisa na online business.