Msaada: uvimbe kwenye mrija wa uume

Msaada: uvimbe kwenye mrija wa uume

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Salamu wakuu.
Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
 
Yani umehisi tu kuwa una uvimbe baada ya kubinyeza?? Kama una wasiwasi we nenda tu hospitali huko ndipo utapata tiba sahihi
 
Back
Top Bottom