Msaada: Ushuru wa Toyota volts

Msaada: Ushuru wa Toyota volts

Joined
Jan 11, 2013
Posts
63
Reaction score
16
Naomba kujua ushuru wa gari used Toyota volts ya 2003 ni shilingi ngap? Ahsanten sana
 
Ukitaka msaada wa aina hii weka bei ya gari na ukubwa injini ya gari yaani kama ni 1500CC, 2000cc au 2500cc. Hapo wadau wataalam watakusaidia
 
Kujiridhisha na kujua hata mengine, fungua website ya TRA, kuna sehemu ya calculator kwa magari na list ya base price in market, download hizo table halafu utakuwa unaweka aina ya bei ya gari husika , ukubwa wa Engine,na mwaka wa gari kutengenezwa na kuona makadirio ya kodi kwa gari lako tarajiwa,
 
Kwa wanaohitaji magari yalioagizwa kutoka nje ya nchi (Japan) kwa bei nafuu. Magari yanapatikani katika yadi zetu. Chagua gari ulipendalo leo kwa website yetu Gariexpress | Excellent condition cars

NOTE: Magari yapo kwenye ubora mzuri.

Thanks
Gariexpress,
Support
Tatizo kubwa la yadi zetu ni bei kubwa na magumashi saaaaaaaana,thats why watu wanaagiza kupata kitu cha uhakika kwa bei anayoiweza
 
Ni kweli kabisa Beluga. Ila kwa yadi yetu huwa tunauza magari kwa bei nafuu zaidi hata kwa faida yenye margin ndogo kuliko yadi zngine. Pia huwa tunapata discounts kutoka dealers wa Japan tunaponunua magari mengi zaidi kutoka kwao. Karibu kununua gari ulipendao kutoka Gariexpress | Excellent condition cars

Thanks
Gariexpress,
Support.
 
Back
Top Bottom