Msaada/ushauri

BVR

Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
11
Reaction score
1
Nilimaliza form six 2007, nikapata Dv II point 10 (HKL) Nina Bachelor ya Education. Natamani kusoma Law . Je Kwa mfumo wa vyuo naweza kudahiliwa mwaka huu kusoma Degree ya Sheria ?
 
Nilimaliza form six 2007, nikapata Dv II point 10 (HKL) Nina Bachelor ya Education. Natamani kusoma Law . Je Kwa mfumo wa vyuo naweza kudahiliwa mwaka huu kusoma Degree ya Sheria ?
Vp Mkuu umeshtuka nn ? Anyway, subiri wenye uzoefu waje wakujuze. Elimu Haina mwisho pambania ndoto zako
 
Vp Mkuu umeshtuka nn ? Anyway, subiri wenye uzoefu waje wakujuze. Elimu Haina mwisho pambania ndoto zako
Acha haraka utachanganikiwa,kuna Law school mkuu mnaingia 600 mnatoboa 21 sio mchezo walimu wamajipanga vilivyo pagumu sana
 
Inawezekana kwankutumia cheti chako.cha 4m6

Tafuta chuo kasome utapambana hukohuko law school ni kama CPA isikutishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…