Msaada /ushauri.. Nataka kununua simu ya mkononi - Infinix.

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,979
Habari zenu wadau.

Baada ya kuzitumia kwa mda mrefu Tecno.. Nimeona nibadilishe aina nyingine.. Naomba ushauri kuhusu aina hii ya Infinix.. Ubora na kasoro, zake...
Karibu........

Habari zenu wadau.

Baada ya kuzitumia kwa mda mrefu Tecno.. Nimeona nibadilishe aina nyingine.. Naomba ushauri kuhusu aina hii ya Infinix.. Ubora na kasoro, zake...
Karibu........
Ninayo Infinix hotenote nilinunua 2015 mwanzoni Nairobi built in battery. Inadumu sana na charge, mi nakuwa online siku Nzima battery charge haikati.
 
Ninayo Infinix hotenote nilinunua 2015 mwanzoni Nairobi built in battery. Inadumu sana na charge, mi nakuwa online siku Nzima battery charge haikati.
Asante
 
weka picha me siijui
hiyo ni infinix note 2. Sijawahi zitumia ila nimeziona saana zinaenea kwa kasi. Zinatengenezwa China.

Kitu kimoja ambacho sijakipenda : pad zao za back, main menu na recent view zipo ndani ya screen ya kung'aa na sio nje kama sumsung au iPhone.
 
nitazitafuta nione live
 
nitazitafuta nione live
Arusha zipo kwa wingi kwakua wanachukulia Kenya... Kenya wanazo kwa mda mrefu sana.. Ila nimekua nikisita kuzinunua....zina muonekano nzr sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…