Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

Mkuu nashukuru kutoa muda wako kunishauri kwenye jambo hili. Nitafanya ya Biology, msc applied zoology ya msc physics nahofia mathematics maana si mzuri sana kwenye adv mathematics
 
Mkuu nashukuru kutoa muda wako kunishauri kwenye jambo hili. Nitafanya ya Biology, msc applied zoology ya msc physics nahofia mathematics maana si mzuri sana kwenye adv mathematics
kama mdau alivyokushauri piga msc ya biology ili utoke na gpa kali uwe lecturer....maana physics ni full namba kama sio mzuri sana itakushusha gpa
 
Kama unataka kufanya kazi mashirika makubwa duniani yenye mishahara mikubwa kapige MPH pale MUHAS hautojuta.

Kama unataka uwe lecturer kapige MSc Physics. Hii itakuja kukulipa sana baadae mkuu.
 
Mkuu mtoa mada samahani, Ila na wewe Naomba nikuulize Pamoja na Wakuu wengine watakaoweza kusaidia japo post Sio yangu, Nina shemeji yako Hapa ambae pia Ni mwalimu Mwenzako sema yeye amesoma Bachelor ya Biology and Chemistry na akapata GPA ya 3.2, anawezaje kujiendeleza kusoma Masters Maana tulijaribu kufatilia ikaonekana Vyuo vingi wanataka GPA kwanzia 3.5 kwenda juu..

Ni Kozi gani anaweza akasoma ama Kuna Utaratibu gani apitie ili aweze kusoma Masters na yeye, Natanguliza shukrani
 
Achana na Biology mkuu, KASOME ISSUE YEYOTE YA PHYSICS biology wapo wengi mnoo. Kuna watu wana hizo masters lakini bado walimu wa secondary.
 
Masters anaweza kusoma ila ni kwa course work and dissertation, masters by thesis ndiyo inataka gpa 3.5, kwahy gpa masters anaweza sana kusoma
 
Achana na Biology mkuu, KASOME ISSUE YEYOTE YA PHYSICS biology wapo wengi mnoo. Kuna watu wana hizo masters lakini bado walimu wa secondary.
Mkuu Physics nahofia mathematics inaweza kunishusha gpa, maana nimesikia walimu wa pale udsm wanapenda sana kukomoa watu hasa department ya Physics, all in all ntajaribu mkuu. Thanks kwa mawazo yako
 
Fanya MAEd mkuu utakuja nashukuru mbeleni
 
Mkuu Physics nahofia mathematics inaweza kunishusha gpa, maana nimesikia walimu wa pale udsm wanapenda sana kukomoa watu hasa department ya Physics, all in all ntajaribu mkuu. Thanks kwa mawazo yako
Sio wana penda kukomoa watu bali wana kupika uive haswa ili usije tema maboko mbele safari .... Jikaze ukapambane hakuna kilicho rahisi kwa maana ukitaka cha uvunguni lazima utakipatia uvunguni sio juu ya kitanda. NENDA uD ndio chuo chenye heshima kubwaaa miongoni mwa vyuo vya EAC kwinginepo utaenda kupiga soga tu.

Kwaheri Mtahiniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…