MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

ahsante kwa kuchangia mkuu ingawa SIJAKUELEWA!...mimi kingredha kidogo hakipandi
 
nimekukubali mkuu!
nitalifanyia kazi hilo jina

Nadhani hilo limekaa kiafrika zaidi na ningekupa tano kama ungetaka msaada wa majina ya kitanzania si umankumbuka Hamisi Gaga au gagarhino?
 
Mkuu hivi lile book la majina ya watakatifu lipo wapi? au pope Kaizer atakuwa nalo?
 
Hongera Teamo

Angalia usimwite jina gumu sana bana wachaga hawakawii kumwita la kwao. Gabriel watamwita Gabu/Gapu/Birieli kama si Pirieli
Geoffrey watamwita Firee na Gregory akaishia kuitwa Giree.

I will go for Gregory though
 
That's TRIBE CALLING..........You have been warned!
 
Mkuu hivi lile book la majina ya watakatifu lipo wapi? au pope Kaizer atakuwa nalo?

duh..ndugu mdhamini....hilo lipo ndo tumeshampa na orodha kabisa pale....hadi Malaika mkuu Gabriel lipo
 
Hatuchelewi kutofautiana tukatwangana makonde madhabahuni.

bwana, tutaficha makucha yetu, lakini tukitoka hapo mpambano unaendelea.....mie nimeshaanza kuchagua chirimeni ya kuvaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…