Msaada ushamba wa ipad

leez salu

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
35
Reaction score
8
Ipad ilikuwa na password hawajui jinsi ya kutumia zaidi ya gemu tu.mtoto wa jiran kaja kabonyeza bonyeza password imejilock.pia ilikuwa haina chaji yake wanafoji usb wanachajia deki au laptop.fundi kasema kuitengeneza laki 2 na nusu.msaada jaman hapo.
 
Unakumbuka details za itune account yake?! Kama ndivyo,. Unahitaji internet to restore your ipad to factory settings. Kuwa tayari kupoteza files na apps


Leri.
 
kaka huyo fundi anataka kula hela zako tu.

moja ya sababu inayofanya vifaa vya apple viuzwe bei ghali ni sababu wanatoa support kubwa. karibia kila tatizo limeshajibiwa kwenye website yao.

nenda hapa utapata majibu ya mtu kueka password mara nyingi mpaka kifaa kujiblock.

iOS: Forgotten passcode or device disabled after entering wrong passcode

na kuhusu cable nenda posta nafkiri duka linaitwa idigital ni wakala wa apple atakupa vitu original.
 

nashukuru sana sana .mimi ni msichana sio mkaka.
 
Unakumbuka details za itune account yake?! Kama ndivyo,. Unahitaji internet to restore your ipad to factory settings. Kuwa tayari kupoteza files na apps


Leri.

asante ila cjaelewa kiukweli mi computer cjui sana ntakupm ila.unieleweshe vizuri
 

Mkuu wa kazi,salama?kuna Sumsung inanitoa ushamba.ni Galaxy Grand imeandikwa Duos,ajabu naona sehemu moja tu ya kuweka line.nipeni ufahamu wadau.Mashikolo mageni!!
 

haujasema ni iPad version gani na ina iOS gani. Huyo fundi anataka laki mbili kwa kazi ipi?!!! HAKUNA UFUNDI HAPO NDUGU YANGU, hiyo ipad ilikuwa na apple ID (email) ya nani? je ulishawahi kuitumia kwenye computer yanye itunes kusync au kuingiza nyimbo? kama ndiyo iconnect tena kwenye hiyo computer kisha restore. Kama imejilock na ilikuwa na apple id ambayo hamuifahamu au hamna access na hiyo email basi hesabu maumivu, na hakuna fundi anayeweza kuifungua, hata apple wenyewe HAWATAKUSAIDIA.
 
Mkuu wa kazi,salama?kuna Sumsung inanitoa ushamba.ni Galaxy Grand imeandikwa Duos,ajabu naona sehemu moja tu ya kuweka line.nipeni ufahamu wadau.Mashikolo mageni!!

kaka hizo simu zipo mbili zipo za double line na single line japo neno duos linamaanisha line mbili huenda yako nayo ikawa ni ya line moja.

galaxy grand ipo hivi.


sehemu za kuekea line moja ipo juu na nyengine ipo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…