Msaada USB yangu inagoma ku-format

sir dak

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
81
Reaction score
9
Habari wana JF naomba msaada kwenye USB yangu. Nifanyaje niweza kui format. kila nikijaribu inaandika "usb is protected"
 
Jaribu kuzima cp yako bila ya kuichomoa hiyo usb halafu iwashe
Au restart hiyo pc yako ikiwepo hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…