da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 407
- 455
kwann unataka kuenable bila kupitia settings?, cmu iko screen locked au?.. Na baada ya kuenable debug unataka kufanya nn kwenye hyo cmu?.. taja pia brand na model ya cmu yakohabar yenu wanajukwaa,
kwa anae fahamu namna ya ku enable usb debugging kwenye mtk devices bila kupitia kwenye settings ku enable developer options
nitashukuru kwa msaada wowote
yap inayo recovery modeIn recovery mode?
kwann unataka kuenable bila kupitia settings?, cmu iko screen locked au?.. Na baada ya kuenable debug unataka kufanya nn kwenye hyo cmu?.. taja pia brand na model ya cmu yako
sp flash tool haihitaji usb debug.. unaflash cmu ikiwa powered off kwahyo usb debug haina hajasystem collapsed sina access kuingia ndani, nahitaji ku enable ili niweze kutumia sp flash tool, simu ni tekno l5
sp flash tool haihitaji usb debug.. unaflash cmu ikiwa powered off kwahyo usb debug haina haja
aliyekwambia unahitaji debug hilo halina ukwel, hapo unaponambia INALOAD NA KUCHOMOKA cjaelewa kidogo... by the way, unahitaji FIRMWARE YA HYO CMU YAKO, MTK USB DRIVERS NA SP FLASH TOOL... unavyo vyote hvyo?the problem is nikichomeka ikiwa off inaload na kuchomoka hapo hapo, na preload drivers niliweka kwa usahihi kabisa, some one said nahitaji kuenable debugging, ntashukuru kama utanisaidia
ninavyo vyoote hivo , yani ni kwamba nikiichomeka simu kwenye pc inasoma then inapotea inaanza kuchaj tuualiyekwambia unahitaji debug hilo halina ukwel, hapo unaponambia INALOAD NA KUCHOMOKA cjaelewa kidogo... by the way, unahitaji FIRMWARE YA HYO CMU YAKO, MTK USB DRIVERS NA SP FLASH TOOL... unavyo vyote hvyo?
kitendo cha cmu kuchaji inaweza kusababishwa na drivers kuwa missed or not properly installed on ur pc au hata hyo usb slot ya cmu yako kuwa mbovu au hata usb data unayotumia pia kuwa mbovu.. hakikisha vyote hvyo hasa kwenye drivers na pia jaribu kuchomeka cmu yako while pressing vol down.. Ulishawahi kutumia hyo sp flash tool kwa cmu yoyote kabla?ninavyo vyoote hivo , yani ni kwamba nikiichomeka simu kwenye pc inasoma then inapotea inaanza kuchaj tuu
yap nilishawahi kuitumia before more than once, nashukuru sana kwa msaada wako baadae ntajaribisha tena, i wll let you know the feedbackkitendo cha cmu kuchaji inaweza kusababishwa na drivers kuwa missed or not properly installed on ur pc au hata hyo usb slot ya cmu yako kuwa mbovu au hata usb data unayotumia pia kuwa mbovu.. hakikisha vyote hvyo hasa kwenye drivers na pia jaribu kuchomeka cmu yako while pressing vol down.. Ulishawahi kutumia hyo sp flash tool kwa cmu yoyote kabla?