KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,206 Reaction score 1,964 May 4, 2022 #1 Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati.
Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,862 Reaction score 136,765 May 4, 2022 #2 Tafuta kampuni ya mabasi ya friends hapo Ova
M mkosa shingo Member Joined Jan 26, 2021 Posts 93 Reaction score 127 May 4, 2022 #3 KISHINDO said: Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati. Click to expand... Freds bus, ofisi zao zipo pale majukano au daraja la wamasai
KISHINDO said: Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati. Click to expand... Freds bus, ofisi zao zipo pale majukano au daraja la wamasai
M mkosa shingo Member Joined Jan 26, 2021 Posts 93 Reaction score 127 May 4, 2022 #4 KISHINDO said: Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati. Click to expand... Nauli kwa pesa ya uganda ni laki moja sijui ya Tz
KISHINDO said: Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati. Click to expand... Nauli kwa pesa ya uganda ni laki moja sijui ya Tz
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 May 4, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,016 Reaction score 16,813 May 4, 2022 #6 mrangi said: Tafuta kampuni ya mabasi ya friends hapo Ova Click to expand... Taqwa au Tawaqal tu kama bado yapo.
mrangi said: Tafuta kampuni ya mabasi ya friends hapo Ova Click to expand... Taqwa au Tawaqal tu kama bado yapo.