Msaada: Usafiri mzuri wa basi Mwanza to Dar

countryboy me

Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
95
Reaction score
81
Habari za weekend wakuu. Nipo hapa stendi kuu ya mabasi Nyegezi Mwanza nilitaka kukata tiketi ya kesho Dar lux kuelekea dar sasa kwa bahati mbaya basi limejaa.

Naulizia ni basi gani jingine zuri la uhakika ukiachilia dar lux nikate tiketi.

Asanteni wakuu.
 
We shida yako kuu nikuandika neno nyegezi
Wala huna lolote
Anyway nenda ofsi za kisbo au kidia one
Isamilo,nk
Asante sana mkuu..

Ila sikuwa na "maana hiyo" kama ulivyofikiri.
If you don't mind; Unaweza nisaidia namba za kidia one au kisbo mkuu maana nipo mbali na Nyegezi!?
 
Asante sana mkuu..

Ila sikuwa na "maana hiyo" kama ulivyofikiri.
If you don't mind; Unaweza nisaidia namba za kidia one au kisbo mkuu maana nipo mbali na Nyegezi!?
Mkuu kama hujapata namba sema nikutumia namba za Agent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…