Kuna MORDEN COAST ya Kenya ofisi zake ziko Buzuruga bus stop . Ipo kila siku na inaondoka Saa 8 mchana. Inazo seat za bei ndogo na za bei kubwa. Ikitoka mwanza haisimami popote mpaka mpakani.
Vyote ulivyoviuliza vinaulizwa mpakani. Vinginevyo uende na gari za nusu nusu . Mwanza/Sirari then Isibania/Nairobi mabasi ni mengi kotekote ingawa za Kenya nyingi zinatembea usiku kucha na za Tz ni mchana. So ni chaguo lako. Lakini ya moja kwa moja ni hiyo MORDEN COAST ya Kenya