rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,965
- 5,894
Habarini za asubuhi waungwana.
Nina jamaa yangu hapa ahamia kikazi Chalinze. Anaomba kujua upatikanaji na bei za nyumba ya kupanga kupitia mwenye nyumba au dalali....
Nyumba iwe ....
A. ukuta
B. Self ya master..sebule...room mbili ..jiko..na public toilet
C. Sehemu au mtaa salama
D. Sehemu ambayo barabara inapitika mda wote
E. Karibu na soko dogo au center ya vijiduka vya mtaa au sehemu hiyo.
Shukrani