S Sk Classified Member Joined Jul 20, 2014 Posts 19 Reaction score 1 Jul 24, 2014 #1 Naomba kujuzwa kuhusu ununuzi wa magari yaliyoko yard hapa dar! mfano model:spacio y.o.m 2003 C&F 3900. Je unapaswa kulipa gharama zipi ili kukamilisha ununuzi zikiwemo na usajili? Nawasilisha! .
Naomba kujuzwa kuhusu ununuzi wa magari yaliyoko yard hapa dar! mfano model:spacio y.o.m 2003 C&F 3900. Je unapaswa kulipa gharama zipi ili kukamilisha ununuzi zikiwemo na usajili? Nawasilisha! .