Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Nov 22, 2013 #1 naombeni msaada jinsi ya kuianlock huawei b260a wifi modem and katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kitu FMC unlocker software nimejaribu kuitafuta bila mafanikio kama kuna mtu anayo naomba anisaidie shukrani
naombeni msaada jinsi ya kuianlock huawei b260a wifi modem and katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kitu FMC unlocker software nimejaribu kuitafuta bila mafanikio kama kuna mtu anayo naomba anisaidie shukrani