Kwa jibu hilo huyo mwanaume kapata mke haswa,hongera na hongera kwake.
Kwa shauri za kujichua na kutumia sex toys ni sahihi lakini kuwa makini,maana nijuavyo hizo njia hasa zikitumiwa kupita kiasi hubadilisha ur sex preferences na hata msimamo wako unaweza badilika maana zinahusisha imagination sana, so ikawa rahisi wewe kufanya kile unachoimagine katika hayo matendo.