Msaada unahitajika tafadhali...

Swali: kwan huo mkataba alioingia hauna kipengele cha likizo? Kama ndio bas mwambie unaitaji kupata mda wa kupumzika kutuliza kichwa huko halipo uende ata wiki moja tu
 
Samahani, hivi mumeo huko aliko huwa hapati likizo ya kuja nyumbani? Ukishindwa kabisa andaa maji yako yamoto yatie chumvi then jitekenye kisimi hadi ufikie climax. Fanya hivyo walau mara mbili kwa mwezi ukishindwa nione inbox nikupe ushauri mwingine.
 
Atakuja baada ya miaka miwili. That's December next year. Sasa ndo nimekuja kuomba msaada maanaa naona kuna kaumbali kidogo.
 
Atakuja baada ya miaka miwili. That's December next year. Sasa ndo nimekuja kuomba msaada maanaa naona kuna kaumbali kidogo.
Vumilia tu siku akirudi atakurusha hadi umkimbie chumbani, ukishindwa kabisa maji yamoto yahusike!
 
Kwakweli siwezi kuchepuka najua mme wangu alikonitoa. Ata kama yy akichepuka it's non of my business solong as he loves me nasijawahi mhisi.
. Mmmhh nw hata nikienda ulaya cn wasiwasi Kama atakuwa Kama Wewe usimsaliti kabisa Wewe mwambie mumeo atakupa mbinu
 
Kupata hamu ya kufanya Mapenzi..hakuhusiani.na kuwa na watoto... Sio.kwamba ukizaa hamu zote zinaisha...kama.ambavyo wanaume wanakuwa na hamu ..pia wanawake wanakuwa na hamu pia.


Inategemea nakwambia!

Ni kujiendekeza kuanzia kwenye mawazo ya mtu akishindwa kuyadhibiti!
Hatuwazi vyovyote!
 
Hongera kwa kuweza kuvumilia mtemenyo wa huko chini na kuchafua pichu.

Fanya japo once kwa miezi 6 ili upunguze..angalia usije ukanogewa tu. Tafuta jamaa akusugue siku moja mpaka ukome!

Ukishindwa atume nauli umende akusuvue kisha urudi.
 
Hahahaha hivi huu upuuzi wa watu kusema oh mazoezi na ubusy unanifanya nisifikirie kugegedana bado mnauamini?

Alafu mr nae kakosea sii angeenda na wewe huko au yeye hajui kuwa kugegedana ndio ndoa yenyewe. Mengine ni bonus
 
'...the moment I relax chini panaanza kucheza penyewe'

Hahaaa kazi ipo hizi ndoa
 
Kwakweli siwezi kuchepuka najua mme wangu alikonitoa. Ata kama yy akichepuka it's non of my business solong as he loves me nasijawahi mhisi.
Sasa unataka ushauri gani piga nyeto kama utaki kuchepuka
 
Inategemea nakwambia!

Ni kujiendekeza kuanzia kwenye mawazo ya mtu akishindwa kuyadhibiti!
Hatuwazi vyovyote!
Haya...labda useme ajizui tu kufanya hayo mambo...mawazo yakija ayapotezee nk.

Ila kusema asisikie hamu itakua ngumu kidogo
 
Kwa hiyo umeshapata bwana hapa umekuja kutafuta huruma za watu kama watakuelewa?

Hesabu gharama kwanza za kuasi agano lenu la ndoa, tafakari hatari zinazoweza kujitokeza ikiwamo uwezekano wa magonjwa yasiyo na tiba!

Chukua tahadhari kabla ya hatari!

Kwanza ukitafakari wagonjwa wa ukimwi wanavyoteseka na kutesa wanaowauguza na jinsi wanao wanavyoweza kuteseka kwa uyatima nazani hiyo hamu yote itakuisha nakwambia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…