Mimi ni mwanamke na nimeolewa miaka 10 iliopita na nimebatika kupata watoto watatu. Kwa sasa nina miaka 33. Kilichonileta hapa kuomba msaada mme wangu alipata kazi ulaya kwa mkataba wa 5 years sasa huu ndo unaenda mwaka wa pili tangu aondoke. Mwanzoni niliweza kuishi bila shida yeyote, (hisia za kufanya mapenzi) ila kwa sasa uzaalendo umenishinda.
Kuna mda natamani na kuskia kufanya mapenzi, najaribu kufanya mazoezi ila wapi. Na pia sitaki kabisa kuchepuka.
Naomba msaada nifanye nini. Maana hua niko busy ila the moment I relax chini panaanza kucheza penyewe. I need psychological help