ndo feni inazunguka vizuri sana tyuu sasa sijui nini tatizo na mfano nikicheza game inazimika kabisaikipata moto ingia task manager angalia process ipi inakula sana resource. kuingia task manager right click taskbar halafu chagua task manager au bonyeza kwa pamoja ctrl+alt+delete.
na feni linazunguka?
unaweza kuifungua? uangalie ile dawa juu ya cpu kama imeishando feni inazunguka vizuri sana tyuu sasa sijui nini tatizo na mfano nikicheza game inazimika kabisa
mkuu sina experiance na haya mambo au nimpelekee fundi aniangalizieunaweza kuifungua? uangalie ile dawa juu ya cpu kama imeisha
yap nenda, cheki hii pichamkuu sina experiance na haya mambo au nimpelekee fundi aniangalizie
shukrani sana chief nitafanya hvooyap nenda, cheki hii picha
cpu inatakiwa iwe na kitu kama dawa ya mswaki kwa juu kupunguza joto, kama haina inatakiwa ipakwe.
ila issue ya task manager hapo juu pia ifatilie
shukran mkuu kwa ushauriHata vumbi likizidi kwenye fins na fan husababisha laptop kuchemka sana, ni vema ikafunguliwa na kusafishwa vizuri, na kubadili thermal compound kama alivyoshauri chief hapo juu.