wakuu heshima kwenu, nina miaka 30 sasa, tatzo langu ni kuwa toka utotoni ulimi wangu una mipasuko haupo smooth kama kwa watu wengine! sipati maumivu yeyote, nilikuwa najiona kuwa ni kawaida tu na wala sikuwahi kwenda hospitali!! Je hili linaweza kuwa tatizo gani na tiba yake ni ipi?