Mpaka wiki ya 42?....mbona mbali sana[emoji848]kikawaida mimba mwisho ni wiki 42 halaf hata hizo tarehe za ultra sound hazijafika na kikawaida mwanamke mjamzito hujifungua kuanzia wiki ya 36 mpaka 42 kama amepiga ultra sound na mtoto ameonekana yuko vyema asubiri hizo tarehe zifike aene hospital watamuanzishia uchungu
Ni kweli, mpaka wiki ya 42 bado ipo ndani ya muda sahihi. Ikizidi hapo then ndio watai-term kama postdate.Mpaka wiki ya 42?....mbona mbali sana[emoji848]
yeah japo ni wachache hufika huko, s unajua hua mimba inahesabiwa kwa wiki na sio mwezi mana kila wiki kunakua na mabadiliko kwamtoto wengine hujifungua kuanzia wiki 36, wiki 38, wiki 40 na had hukoo wiki42 yan ikifika hio 42 uchungu haujaanza automatic watakuanzishia tuMpaka wiki ya 42?....mbona mbali sana[emoji848]
Hahaha itategemea na mtoto na hali ya mama kama ni hio au kawaida usiogope muhim mmetoka salamaHapa ni C-section wallah naogopa mimi[emoji26][emoji26]
Poleni kwa changamoto. Alienda hospital zinazoeleweka au ni hizi za uchochoroni? Kuweni makini kwani wajawazito wengi wanafariki kwa sababu ya maamuzi potofu ya wakunga na dr. Jaribuni kupata ushauri sehemu nyingine. BTW kwa nini wasimzalishe tu?
Pole sana nakushauri uende hospitali kwa Mkunga wako au daktari kwa maelezo zaidi au subiria hiyo tarehe 29 urudi hospitali maana ndio wanajua taarifa zote
kikawaida mimba mwisho ni wiki 42 halaf hata hizo tarehe za ultra sound hazijafika na kikawaida mwanamke mjamzito hujifungua kuanzia wiki ya 36 mpaka 42 kama amepiga ultra sound na mtoto ameonekana yuko vyema asubiri hizo tarehe zifike aene hospital watamuanzishia uchungu
Go fo CS
Si utaratibu, labda kama kuna factors nyingine. Utaratibu wa kwanza mwafaka ukifikiwa ni kuanzisha uchungu.Hapa ni C-section wallah naogopa mimi[emoji26][emoji26]