Msaada uhamisho ICT officer serikalini

Msaada uhamisho ICT officer serikalini

themathematicalmodelling

Senior Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
174
Reaction score
330
Habari za jioni wadau,
Mbeya university of science and technology wametangaza nafasi za uhamisho kwa public servants na mdogo wangu alireport kazini two weeks ago so naomba msaada au ushauri je anaweza omba hizo transfer request MUST? na je kati halmashauri na must wapi pazuri zaidi kwa ICT officer?
 
Abaki halmashauri mkuu, then huyo itakuwa ngumu kuhama maana hata barua ya confirmation Hana. Bado yupo kwenye mda wa matazamio
Habari za jioni wadau,
Mbeya university of science and technology wametangaza nafasi za uhamisho kwa public servants na mdogo wangu alireport kazini two weeks ago so naomba msaada au ushauri je anaweza omba hizo transfer request MUST? na je kati halmashauri na must wapi pazuri zaidi kwa ICT officer?
 
Mbona tulisikia Uhamisho umezuiliwa hi imekaaje maana kutoka mfano Halmashauri kwenda taasisi kama hiyo ya Chuo si ni uhamisho au promotion kabisa?au tayari wamesharuhusu
 
Ni hivi kinachotakiwa ni mwajiri wake ampitishie barua yake basi anakubaliwa kuhamia MUST..
Kwa mtazamo wangu MUST ni kuzuri zaidi ukiachila mbali kwamba ni chuo anaweza kujiendeleza kwa urahisi kuliko halmashauri.
Namshauri huyo mdogo wako aombe, Aongee vizuri na ma hr wa halmashauri wampitishie barua asepe zake.
Uhamisho huu ni rahisi sana UTUMISHI watakuwa wameubariki
 
UTUMISHI huchukua mda gani kujibu barua za Uhamisho?Kuna mtu alipeleka barua ya kuhamia Mloganzira mpaka Leo toka Mwaka Jana mwezi wa tisa hawajamjibu
 
Habari za jioni wadau,
Mbeya university of science and technology wametangaza nafasi za uhamisho kwa public servants na mdogo wangu alireport kazini two weeks ago so naomba msaada au ushauri je anaweza omba hizo transfer request MUST? na je kati halmashauri na must wapi pazuri zaidi kwa ICT officer?
Aombe hizo nafasi kwa kuwa ni Chuo Kikuu hata Salary Grade ya Taasisi kama hizo ni tofauti na LGAs/RSs (Wilaya/Halmashauri/Mkoa) Mimi namshauri aombe hizo transfer kwani pamoja na kupata Salary pia kuna fursa nyingi za ufadhili kimasomo tofauti na akiwa Ofisi za Mkoa au Halmashauri. Atume maombi maana Tangazo linasema watakaobahatika WANATAKIWA KUOMBA KIBALI CHA UHAMISHO WAKIPITISHA BARUA ZAO KWA MWAJIRI KWENDA KM-UTUMISHI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom