Msaada ugonjwa wa ngozi shingoni mwa mtoto

Msaada ugonjwa wa ngozi shingoni mwa mtoto

Kibar

Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
91
Reaction score
26
Wataalam nsaada tutani ugonjwa huu unamsumbua dogo akipewa dawa za alergy anatumia akimaliza tatizo ilanarudi.

Rejea pichani,

With regards,
Screenshot_20220821-054632.jpg
Screenshot_20220821-054629.jpg
 
Inawezekana ni pumu ya Ngozi jifunze kuhusu hilo hata huku jf wameliongelea nadhani,

Ushauri hakikisha Hilo eneo haliwi na ukavu inashauriwa kupaka mafuta yasiyo na manukato hasa Vaseline blue seal original Mara kwa Mara, pia atumie sabuni zisizo na manukato zilikuwepo zile B29 nyeupe sijui Kama bado zipo Ila hata hizi za mche za kawaida na aepuke vitu vyenye manukato kiujumla

Mimi imenisumbua Sana shingoni Ila nikaamua kupunguza uzito Ni Kama nimetatua tatizo kwa 90% siku hizi huwa nasahau kabisa inanitokea Mara chache hasa nnapokuwa katika pilika za kushinda juani au zozote za pasua kichwa hata Kama sifanyi Mimi mfano kushinda site. Hata ikinitokea nikipata utulivu hata wa siku mbili inaondoka kwa hiyo nliamua kutotumia dawa Kama za allergy kutuliza huwa napambana nayo kwa kupaka mafuta ili Ngozi isiwe kavu

Kubwa waone madaktari maalumu wa Ngozi watakusaidia na ujifunze zaidi kuhusu pumu ya Ngozi huwa inatesa kiukweli mi Kuna wakati ikichachamaa eneo husika likipata maji maumivu Ni Kama mtu aliyechanwachanwa na viwembe.
 
Back
Top Bottom