Step 4: Programme Choices, nimemaliza step ya kwanza na ya pili, step ya tatu nimejaza ninapotaka kwenda ya nne inagoma naambiwa 'Step #1 to 3 must first be completed'. Sijaelewa shida ni nini, kwenye academic qualification Registration No nimeweka index No (ya chuo nilichosoma) na AVN No nimeweka index No niliyofanyia mtihani.