Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A)
Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ??
Nifahamisheni Tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]

Ukimaliza cheti mwaka mmoja ,unajiunga na diploma ambayo ni miaka miwili na baada ya kumaliza diploma vizuri unaweza kuendelea na masomo ya shahada chuo kikuu.