Wakuu naombeni msaada,
Nina Television yangu Sumsung flat screen in in usb port ila sasa nikiweka flash disk ikiwa na mvoies hazionekani kabisa lakin ikiwa na nyimbo audio zinaplay bila matatzo sasa nashindwa kuelewa video zinatakiwa kuwa kwene format gan ili ziweze kuplay.
Msaada tafahali

sasa hizi video zipo kwene avi na hazijaplya je media player inaweza kua sababu? je kuna media player recomended kusuport video kupaly kwene TV?
Asante
Leta jina na model no ya TV yako ,, kwa modern samsung TV zimetengenezwa na feature inaitwa smart share , hii ina play format za aina nyingi sana kuanzia mp3 mpaka mp4 , hard disk pia ina play ... Inawezekana unalazimisha vitu ambavyo TV yako haina