msaada tutaniiii!?

Hiyo mimba asiitoe coz
madhara atakayopata akiitoa ni makubwa kuliko akiiacha...! Mbona hayo
mambo yakubakwa husahaulika tu... Asifikirie saana ilo tukio akipende
hichokiumbe tumboni na Mungu atambariki.

Ushauri mzuri pia ila hv udoctor ulisomea wapi vileee cz nimesahau kidogo!!!
 
maji yakiisha mwagika hayazoleki cha msingi ni kumlea mtoto tu kuua ni dhambi kubwa sana kamwe hasithubutu..
 

Nimekusoma ndugu
oh Mr G.Lema!,hivi nae ameshaenda uk hv karibuni?back to my issue,nataka nifahamu hv inawezekana ktk mahakama zetu kukawa na private hearings kwa issue kama hizi za ubakaji ili kumantain status za hawa waathirika wa ubakaji?
 
maji yakiisha mwagika
hayazoleki cha msingi ni kumlea mtoto tu kuua ni dhambi kubwa sana kamwe
hasithubutu..

ahsante sana sasa kama nikimuua huyo mtoto then nikienda tubu kwa mungu wangu awezi nisamehe? cz hali yangu ni tete sana.
 
Huwez jua huyo mtoto
atakuwa potential kias gan kwa jamii.kubakwa kunasahaulika,aombe Mungu
ampe faraja kupitia huynd mtoto.

Ahsante kwa ushauri inawezekana huyu mtoto akaja JK wa baadaye si utampa kura ya ndio?
 
Asitoe mimba ailee 2 then Mungu atamjalia na atajifungua........kilichopo tumbon hakina hatia
 
Hiyo ni faraja kwangu japo kidogo ila ni kweli hayo usemayo kuwa wapo wenye watoto?walifanyaje hadi wakacope na hii situation?
Mwache aje mwenyewe hapa JF kwa nini unamsemea?
Km ni wewe umebakwa ilikuwaje ukajipeleka kwenye matamanio ya kubakwa na kwanini usiolewe au ukatafuta mchumba hadharani kuliko kuvamia wanaume wa watu sasa wanachomoa uhusiano.
Km umejiunga juzi JF mfungulie na yeye tumhoji maana nina maswali mengi.

  • Mimba ameipenda na mwenye mimba ni mume wa mtu?
  • kwa nini hadi leo hujatoa taarifa ya kubakwa?
  • ana mtoto mwingine au ndio mimba ya kwanza?
 
Asitoe mimba ailee 2 then Mungu atamjalia na atajifungua xalama........kilichopo tumbon hakina hatia
 
Sio mwanazuoni wa Sheria ila kwa kosa la ubakaji sidhani kama kuna private hearings kwa kuwa ni Jamhuri ndiyo inayomshitaki mtuhumiwa.
Kumbaka mtu ni kukiuka haki yake ya msingi ya kushiriki mapenzi na yule ampendaye

Nimekusoma ndugu
oh Mr G.Lema!,hivi nae ameshaenda uk hv karibuni?back to my issue,nataka nifahamu hv inawezekana ktk mahakama zetu kukawa na private hearings kwa issue kama hizi za ubakaji ili kumantain status za hawa waathirika wa ubakaji?
 
Azae tu......coz kutoa ni hatar pia na huenda hapo atakapohitaj asipate na kuanza kujutia na hata kutaman kubakwa tena labda atapata kwa njia hyo.Aombe Mungu amsaidie maana ni yy ndo ameruhusu hilo jaribu bac atampa njia yakutokea.
 

Nenda kwa walionusurika na mauaji ya Rwanda mwaka 1994 then watakuambia wao walichukua hatua gani baada ya kugundua kuwa walivobakwa na wana ujauzito wa wanajeshi wa Interahamwe
 
Kama sheria inamruhusu na haitokuwa na madhara ya afya yake kwanini asichukue maamuzi.

Pia kidini..hapa kama ni muislamu inaruhusiwa kama haijafika 3 months sijui wenzetu wakiristo inakuwa vipi?

hivi wewe dada ni mzima kweli?

yaani unashauri mtu aue tu kachanga so easly like that.

jamani haya majanga
 
hivi wewe dada ni mzima kweli?

yaani unashauri mtu aue tu kachanga so easly like that.

jamani haya majanga
Naomba uheshimu mawazo ya mwenzio hata kama haufikiani nayo.

Sitaki kuwazia akizaliwa huyo mtoto akaishi na dillema ya kuwa rape child achilia psychological affects watazopitia wote wawili mama na mtoto for me is too much to handle.
 
There is no right way to wrong things.....fikiria sanaa huu usem utapata jibu
 
Ushauri wangu ailee mimba na mtoto akizaliwa atamfariji. Hata kama ataamua kuitoa haiwezi kumpunguzia machungu ya kubakwa tena ataongeza na madhara mengine kisaikolojia ya kutoa mimba atakua akikumbuka anasema ningejua ningeiacha ile mimba pengine yule alikua mtoto bora kuliko hawa n.k. Wapo wengi waliobakwa hivyo kwa kua lilishatokea alipokee kama lilivyo.
 
Hapa mistake kubwa aliifanya siku alipobakwa, maana kama angelikwenda polisi kutoa taarifa, polisi wangempeleka hospitali ambako huko angepewa dawa kwa ajili ya mambo makuu mawili ambayo ni kuzuia maambukizi ya kama zinaa, na hata HIV, na pia issue ya mimba.

Lakini kama aliogopa na hakwenda basi na atulie alee mimba na baadaye Mungu ni mwema atamjalia mtoto alee na atakuwa mfariji wake kimaisha. Akitoa mimba atajuta zaidi maisha yote maana atakuwa na ajutia/anafikilia kuwa alibakwa na pia alishaua.

Mpe pole sana, ila muambie asiue, na kama wewe ndio uliyetoa huo ushauri acha kabisa kushiriki hiyo dhambi, roho ya mtu itolewe kwa mapenzi ya Mungu tu na sio vinginevyo.
 
Naomba uheshimu mawazo ya mwenzio hata kama haufikiani nayo.

Sitaki kuwazia akizaliwa huyo mtoto akaishi na dillema ya kuwa rape child achilia psychological affects watazopitia wote wawili mama na mtoto for me is too much to handle.

mh eti too much kuhandle.

ah noja nikuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…