Website yao ya kipumbavu sana, piga simu au nenda physical, Bongo huduma za online bado sana, halafu website lenyewe halina hata mvuto Sasa hata hicho Chuo chenyewe sijui kama kinatowa competent graduates.