msaada tutani

Qamarah Beldon

New Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3
Reaction score
0
habari zenu wakuu.. Naomba msaada wa shule ipi ya private ya wasichana yenye academic perfomance nzuri na ada uwezo wangu kwa mwaka ni milion 2 nataka nimpeleke binti yangu kidato cha kwanza mwakani
 
Kwanza unataka shule za mkoa gani?zipo nyingi tu mbona
 
Mikoa yoyote ile mkuu simbamtene, ila itakua vizuri zaidi ikiwa ni pwani na dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…