Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Flash yangu nahisi ime-corrupt, kila nikifungua inahitaji niiformat, nilijaribu kuformat kwa njia ya kawaida ikaniletea ujumbe "windows was unable to complete format"
Nimejitahidi kuiformat kwa njia mbalimbali yaani commandline na storage format tools imeshindikana, kama kuna anayejua solutuion ya hili tatizo kwa njia yoyote atiririke hapa ili hata watakaopitia huu uzi wajifunze, najua wengi wamewahi kukumbwa na hili tatizo
Tatizo hii yangu hata file system imechange kwenda RAW file system, nimekuwa naziokoa nyingi zinazoleta hii message ila hii kibokoYaani mwenyewe nimeletewa tatu zote zinasema read only nimefata tutorial zote online nikaambulia zero
Yaani nafikiri ni next to impossible kui format flash ya hivo labda komaa ukipata mautundu tujazane
Tatizo hii yangu hata file system imechange kwenda RAW file system, nimekuwa naziokoa nyingi zinazoleta hii message ila hii kiboko
Thanks mkuu, tools karibia zote zime-failJaribu kudown load format tool ya manufacturer.
E.g hp , trascendc
Mie flash aina ya hp ilikuwa inaleta huo ujumbe nikadownload hp format tool ilifanya kazi.
nipe hayo mautundu yako maana ninazo tatu 16GB yaani wenye nazo wameumia sana
tupa flash nunua nyingine...
a very simple solution na ya kukuokolea muda!!
Mkuu hebu kwanza angalia zina file system gani!
hiyo naangalia vp mkubwa maana nikiweka tu inaniomba ku format
Thanks mkuu, tools karibia zote zime-fail