J jenereta Senior Member Joined Apr 9, 2013 Posts 146 Reaction score 40 Jul 2, 2013 #1 Jamani nani anajua website ya TAMISEMI? Au mwenye details za sula zima la uhamisho wa waalimu June 2013, naomba anisaidie please. Asante
Jamani nani anajua website ya TAMISEMI? Au mwenye details za sula zima la uhamisho wa waalimu June 2013, naomba anisaidie please. Asante
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 104 Jul 2, 2013 #2 Mkuu ni sura na siyo sula,unakohamia wana shida kwel kwel.JIPANGE UPYA
J jenereta Senior Member Joined Apr 9, 2013 Posts 146 Reaction score 40 Jul 2, 2013 Thread starter #3 Ni suala sio sura kaka. UPO?
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Jul 2, 2013 #4 Hata TAMISEMI wanaijua, Google ni kila kitu! Prime Minister's Office Local and Urban organisation.
HMJ Senior Member Joined Apr 24, 2013 Posts 157 Reaction score 21 Jul 3, 2013 #5 kuna wa2 wengine cjui vp anaacha kuchangia kilichoulizwa anaanza kukosoa cplng kama huna la maana we kausha tu munaboa banhaa!!!
kuna wa2 wengine cjui vp anaacha kuchangia kilichoulizwa anaanza kukosoa cplng kama huna la maana we kausha tu munaboa banhaa!!!
J jenereta Senior Member Joined Apr 9, 2013 Posts 146 Reaction score 40 Jul 3, 2013 Thread starter #6 HMJ said: kuna wa2 wengine cjui vp anaacha kuchangia kilichoulizwa anaanza kukosoa cplng kama huna la maana we kausha tu munaboa banhaa!!! Click to expand... Umri nao unachangia aisee, ndio ubaya wa forum, watoto wengi sana, kiaso kwamba wanaboa, wana parochial looking
HMJ said: kuna wa2 wengine cjui vp anaacha kuchangia kilichoulizwa anaanza kukosoa cplng kama huna la maana we kausha tu munaboa banhaa!!! Click to expand... Umri nao unachangia aisee, ndio ubaya wa forum, watoto wengi sana, kiaso kwamba wanaboa, wana parochial looking
J jenereta Senior Member Joined Apr 9, 2013 Posts 146 Reaction score 40 Jul 3, 2013 Thread starter #7 Nyakageni said: Hata TAMISEMI wanaijua, Google ni kila kitu! Prime Minister's Office Local and Urban organisation. Click to expand... Sijakuelewa Nyakageni, embu funguka kidogo kwa ufafanuzi
Nyakageni said: Hata TAMISEMI wanaijua, Google ni kila kitu! Prime Minister's Office Local and Urban organisation. Click to expand... Sijakuelewa Nyakageni, embu funguka kidogo kwa ufafanuzi
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 647 Reaction score 73 Jul 3, 2013 #8 Flammable said: Mkuu ni sura na siyo sula,unakohamia wana shida kwel kwel.JIPANGE UPYA Click to expand... mkuu na ww umekosea sio sura bali suala
Flammable said: Mkuu ni sura na siyo sula,unakohamia wana shida kwel kwel.JIPANGE UPYA Click to expand... mkuu na ww umekosea sio sura bali suala