Msaada tutani, naomba ushauri

majuto

Member
Joined
Dec 24, 2009
Posts
21
Reaction score
1
Jamani nina swali, mke wa rafiki yangu kapata simu imepigwa kwenye simu ya mumewe na na text message kutoka kwa family friend.

Katika family friend huyo kuna binti naye alitumia address ya kwenda kwao, kwani walihama hapo walipokuwa wanaishi sinza hapo awali. Mke kaona hivyo bwana ehe kaenda kutangaza kanisani kuwa mume huyo aache kutembea na huyo binti na kamwambia mama mzazi kabisa wa huyo binti, tena kamwambia tu walipokutana kwenye corridor kanisani. Huyo binti mimi jamaa amemsaadia baadhi ya mambo mengi tu ya kimsingi lakini hakuna mapenzi wala uhuni wa aina yoyote ninayo huakika huo asilimia 100.

Sasa yule mama amechukia anasema kwanini mke wa rafiki yangu anaona binti yake Malaya? na kwa nini anamdharau kiasi hicho?

Kwanini asingeenda tu akaongea na huyo binti pasipo kupita kwa mama yake?

Na yule binti anataraji kuolewa karibuni?

Je jamaa yangu huyo afanye nini?

Msaada tutani
 
kwanini wanaume wenzangu ni maboya hivi?jambo dogo unapaniki na kushindwa kutoa maamuzi kweli ni nomaa sana,
 

Sijaelewa kabisa anataka maamuxi ya nin hapo
 
Hahahaaa uwiii umefungwa kisa nn ???

ndoto ni ndefu, ILA nilikamatwa kwa trafik case, yani kuendesha bila leseni af kufika kituoni nikapewa kosa la kuingia kwa jinai (trespass) ndo nikafungwa tena tukiwa wawili me na kaka yangu
 
ndoto ni ndefu, ILA nilikamatwa kwa trafik case, yani kuendesha bila leseni af kufika kituoni nikapewa kosa la kuingia kwa jinai (trespass) ndo nikafungwa tena tukiwa wawili me na kaka yangu

Hahaaa pole sana lol ni ndoto tu iyo au unataka kuanzisha uzi kisa iyo ndoto???
 
Huyo jamaa alikuwa anatafuta kitu inaitwa soft landing, so kusikia binti anaolewa ndo kachanganyikiwa.
 
jambohili halihitaji maushauri wewe simama kama mwanaume na msimamo wako
 
Sawa ndo alivyosimama lakini kumbukuka mwanadada katangaza Kanisani tayari kuwa mumewe anatembea na huyo binti. Sasa hiyo jamaa inamfanay jamaa anataka kuhama kanisa, kampigia simu ninti yule kamwambia usiongee na mumewangu. Je kufanya hivyo si kumdharau mumewe na kumwaibisha pasipo kuwa na ukweli? kama alikuwa anafanya ni sawa lakini ni kwamba hakuna kilichofanyika mwanzo wala sasa lakini yeye kshikilia kuwasumbua watu!
 
Alafu kamwambia mumewe achague kati yake au yule na ataki huyo binti akanyage kwao wakati ni familia marafiki kweli, kamwambia mumewe ikiwezekana ampr talaka kama hawezi kuacha kuongea na huyo binti, ni vichekesho lakini kumbuka hii ni ndoa!
 
Wewe kwanin ulikuwa unamsaidia huyo bint bila kumshirikisha mkeo? Haya pole muombe msamaha mkeo
 
Huyo jamaa alikuwa anatafuta kitu inaitwa soft landing, so kusikia binti anaolewa ndo kachanganyikiwa.
Naona hujaelewa, aliye leta mambo hayo ni mke na ikatokea wakati ndo binti posa inaletwa imekuwa ni kama hajali vile. Jamaa namfahamu hana makando kando, na kwa watu wengine wanafikiria kuwa huyo jamaa ndo kamwambia mkewe ili huyo binti asiolewe unaelewa hiyo somo.
 
Huwezi kumsaidia binti bila kumuhusisha mkeo au wazazi wake wakati hata mkeo anamjua...

Hata ningekuwa mimi ninge conclude tu

na inaelekea 'msaada' ulikuwa wa maana...mpaka untishia kuvunja uchumba/ndoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…