Msaada tutani kuhusu Clomiphene

kayengar

Senior Member
May 6, 2016
131
126
Wadau naomba kujuzwa namna ya kutumia hivi vidonge kwa mwanamke mwenye kusaka mtoto vinatumiwa wakati gani? Kwa maana ya wakati wa period ,baada ya period tu, au akiwa akiwa kwenye siku za hatari ya kupata mimba?
 
Acha kubugia midawa ovyo!! Kama hizo dawa umepewa na Daktari si angekuelekeza namna ya kutumia
 
Reactions: THT
Wadau naomba kujuzwa namna ya kutumia hivi vidonge kwa mwanamke mwenye kusaka mtoto vinatumiwa wakati gani? Kwa maana ya wakati wa period ,baada ya period tu, au akiwa akiwa kwenye siku za hatari ya kupata mimba?
clomiphene citrate ni ovulation inducer anaanza kutumia akiwa kwenye siku zake
 
Mtafute mdau Hornet atakupa dawa nzuri ya kienyeji, wala haina madhara.
 
Kama unataka kushika mimba zipo dawa za kienyej asili nauza ...nitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…