Msaada tutani: Hali ya hewa

Wakati unasifia hii hali ya hewa, napenda kukujulisha yafuatayo:
1)Huggies ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja
2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo
3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka
4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=
5)Baby Walker Tshs 110,000/=
Sasa ww jishaue tu kujitia una jini mahaba.
 
Wakati huu wa baridi navaa sweta langu na wakati wa kulala najifunika blanketi langu zito..sitaki shida na mtu, nafunga zipu naepuka vishawishi
 
Nice advice to them "hers"
 
Ahahahaha hahahahha
 
Wadanganye watoto wenzio....
 
HII SIGNATURE YAKO HII MMMMH UNAMAMAANISHAJE VILE ??? 1st Class Beeeeeyaaaaaaaaaach!............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…