Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
MakubwaaaaTangazo la biashara....
Vp umelilipia lakini? Penny
Du me ntajuaje labda?!Hivi wanaume Marijali wanaouza hakuna?
Mimi ni me UJUE tufanye b'ness basiMakubwaaaa
Du me ntajuaje labda?!
Mweee kama kimbwa eeLala umejikunyata mikono katikati ya mapaja
Done but no results ...Chukua maji ya uvuguvugu kaoshe papuchi.
Ngumu kumezaMimi ni me UJUE tufanye b'ness basi
Best me msichana wa nini wakati me mwenyewe msichana? Kiru!Tafuta MWANAMKE bar umteke
Du kweli ushauri wa ki diktetaaaWeka unga wa ngano huko halafu umwagie pilipili kichaa huko.NB:UNGA UWE KILO 1
Mweeee shida yote ya nini wakati dildos zimejaa kibao GSM mall! HeheKuna yule binti alileta uzi humu jinsi ya kusugua papuchi kwa kutumia meza/Makochi...utafute upate maujuzi..
Du! Makubwaaa ivi Gwajima ndo nan tenaa?jamani tumbo lote lako ilo au umeongeze na lajirani yako......weee ufai unatia hasara family
alafu naenda kukushtaki kwa askofu gwajima maana unakula kama nini duuuh
Niaje wadau wa jf MMU?!
Nyie wenzetu mnajionaje na hali na kabaridi haka labda?!
Maana me na genyeka mpaka basi, naombeni njia mbadala maana hapa karanga nimemaliza, korosho tayari, supu zote nimekunywaaa, hot chocolate usiseme, ndizi choma nishapigaa, kuku choma tayar, yani hapa nakaukaaa
Na hivi shem wenu kasafiri, basi nimeganda kama nguzo
Wenzetu baridi hiii mnaji hifadhi vepee?!
Nipo nyumbani kwangu hata nikijamba poa tuvitu vyotee hivyoo umekula ukijamba siitakuwa tatizo asee.
Noma sanaaa hongeraWenzako tuko bize tunapalilia mahindi, karanga, nyugu mawe, kunde n.k!!! Hizo genye hazitusumbui!!!
HaleluyahNiite nitakuitikia .shida yako nitaitatua.utakua mwepesiii
Nimekumiss sjakuona mudaaaMmhhh....