aggrey kimambo Senior Member Aug 10, 2015 129 142 Mar 30, 2016 #1 Natunguliza salaam wakuu, ningependa kujua mbivu au mbichi kuhusiana na cornflakes/cereals katika kupunguza uzito wa mwili.
Natunguliza salaam wakuu, ningependa kujua mbivu au mbichi kuhusiana na cornflakes/cereals katika kupunguza uzito wa mwili.
Lung'wecha JF-Expert Member Aug 20, 2014 927 574 Mar 30, 2016 #2 hebu ziandike kwa kiswahili tuelewe wengi
P. Majaribu JF-Expert Member Jun 2, 2014 1,195 621 Mar 30, 2016 #4 a.rahabu said: Ndo nini Click to expand... Mambo ya wazungu haya bibie Attachments 1459361959392.jpg 32 KB · Views: 61 1459361978301.jpg 37.1 KB · Views: 52
Rahabu JF-Expert Member Jan 21, 2014 5,526 3,339 Mar 30, 2016 #5 Aiseeeee siez hayo nishazoea maboga mie
naiman64 JF-Expert Member Nov 22, 2013 6,865 5,314 Apr 7, 2016 #6 Sijawahi kufikiria hivyo, kwa vile hutumia kama kupoza njaa wakati nafanya maandali mengine au labda nina haraka nataka kutoka na njaa inauma
Sijawahi kufikiria hivyo, kwa vile hutumia kama kupoza njaa wakati nafanya maandali mengine au labda nina haraka nataka kutoka na njaa inauma
LadyRed JF-Expert Member Mar 19, 2016 9,636 11,480 Apr 7, 2016 #7 Mhh labda, huwa nazitumia kupasha tumbo asubuhi
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,062 Apr 8, 2016 #8 Ni snack nzuri mno ukipata na maziwa kuhusu huko kwingine hata sijui