du! Turbo C outdated na DevCpp ni outdated pia.Compiler karibia zote za C++ zitakubali C. Anyway hizo product zote za Turbo hazitengenezwi tena, kama shida yako ni kujifunza C download Bloodshed Dev-C++ The Dev-C++ Resource Site
kuna umuhimu wa kusoma vizuri nilichoandika ati!Asanteni. Kwa sasa nimedownload na kuinstall Dev-C++. Naendelea na lessons, nikipata tatizo lolote nitarudi tena.
Asanteni sana kwa kunisaidia!
Sawa. Pia pale unapoona sikuelewa vizuri unaweza ukanielewesha zaidi huku ukizingatia kuwa mimi ni beginner, hivyo reference yenye link huwa ni rahisi kwa ma-beginners. Karibu tena mkuu kama kuna kitu unaona sikuelewa vizuri.kuna umuhimu wa kusoma vizuri nilichoandika ati!
jipunguzie maumivu, usitumie outdated compilers/IDESawa. Pia pale unapoona sikuelewa vizuri unaweza ukanielewesha zaidi huku ukizingatia kuwa mimi ni beginner, hivyo reference yenye link huwa ni rahisi kwa ma-beginners. Karibu tena mkuu kama kuna kitu unaona sikuelewa vizuri.
Kama kuna uwezekano mngeweka na links ili ukibofya ikufungulie page ya kudownload hizo latest compiling softwares. Hilo lingetusaidia sana sisi "ma-underground programmers" ambao tuna nia ya kweli ya kutaka kujifunza.
Software ya Dev-c++ ambayo nilidownload na kuistall, haikufanyakazi licha ya kufuata maelekezo ns miongozo yote iliyomo ndani ya software yenyewe.
Msaada zaidi wa link plz!!!!
Asante sana!!!fanya hivi kama nia ni kujifunza tumia c++ ya Microsoft sababu utapata na resource nyingi zaidi mtandani iwe ni kuistall au hata sample codes. n hata iwe ni integretion ya apllication mbalimbali.
Visual c++ ya micrsoft ni moja ya package kati ya pachge nyingi zinazounda kitu inachoichwa Visual Studio 2010 . Yaani ndani ya visual studio kuna
visual C++ 2010
visual C# (sharp)
visual Web develper
visual Basic 2010
na katika kujifunza unawezaa hata ukahitaji na Sql server 2008 (database). Ndani ya studio imo.
Badala ya Visual Studio 2010 unaweza kuamua kupakua visual studio 2008 . specs za mashine yako zinaweza kuwa muamuzi ni ipi inakufaaa.
pakua VS2008 hapa Visual Studio 2008 express all in ine iso chagua lugha then bofya download
pakua VS2010 hapa visual studio 2010 expres all in one iso chagua lugha tehn dowload
So nakushauri pakua na install Visual studio ni nzuri kwa benginner
sasa mbona unanitia shaka mapema hivi. Nilivyotaja majina nikajua inatosha wewe kuyaweka ktk kiboksi cha google.... Haya links zako hizi hapa:Kama kuna uwezekano mngeweka na links ili ukibofya ikufungulie page ya kudownload hizo latest compiling softwares. Hilo lingetusaidia sana sisi "ma-underground programmers" ambao tuna nia ya kweli ya kutaka kujifunza.
Software ya Dev-c++ ambayo nilidownload na kuistall, haikufanyakazi licha ya kufuata maelekezo ns miongozo yote iliyomo ndani ya software yenyewe.
Msaada zaidi wa link plz!!!!
Nashukuru sana kwa kuniwekea hizo link hivyo itakukuwa rahisi hata kwa beginner wenzangu kubofya tu. Nimefanikiwa pia kupata na kudownload "assignment". Sina matatizo na google. Google, wikipedia, webopedia, howstuffswork, Youtube, etc, hawa wote ni "marafiki zangu wakubwa" Shukran kwa msaada.sasa mbona unanitia shaka mapema hivi. Nilivyotaja majina nikajua inatosha wewe kuyaweka ktk kiboksi cha google.... Haya links zako hizi hapa:
codelite Main/Home Page
Code::Blocks
ya MSVC ipo hapo juu na wxDevCpp ninaacha iwe assignment ya wewe kutumia google kuipata!