C chikwakala Member Joined Aug 17, 2014 Posts 28 Reaction score 6 Apr 7, 2016 #1 Mara nyingi nikilamba asali huwa tumbo linauma sana nashindwa kuelewa tatizo ni nini msaada kwa aliye na uelewa wa tatizo hilo.
Mara nyingi nikilamba asali huwa tumbo linauma sana nashindwa kuelewa tatizo ni nini msaada kwa aliye na uelewa wa tatizo hilo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,163 Reaction score 184,891 Apr 7, 2016 #2 Asali ya nyuki au asali ile ya...
C chikwakala Member Joined Aug 17, 2014 Posts 28 Reaction score 6 Apr 7, 2016 Thread starter #3 Asali ya nyuki mkuu
M mhaka JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 495 Reaction score 261 Apr 7, 2016 #4 Acha kulamba asali,
B bobtony Member Joined Jun 28, 2015 Posts 44 Reaction score 37 Apr 7, 2016 #5 Wanadai ndo huwa inafanya kazi, siunajua ina kazi nyingi mwilini hasa ile yenye masega yake.Usilambe nyingi sana pia..
Wanadai ndo huwa inafanya kazi, siunajua ina kazi nyingi mwilini hasa ile yenye masega yake.Usilambe nyingi sana pia..