Msaada,transiformer za redio na sub woofers.

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
112
habari wanajamvi, naomba msaada nataka kujua kwanin sometime transiformer zinaungua secondary coil, mfano mimi nina tabia ya kuacha redio inaimba usiku kucha, sasa jana usiku ilipofka saa7 usiku ntaona moshi unatoka kwenye redio, nkaamka nkazima socket switch, leo nachek nimekuta ile toroidal transformer imeungua upande 1, ambapo zinatokea zile output wires , asa hadi saiz sijaelewa chanzo ni nin?
 
Karibu Itamba Primary School, Shule ya kiswahili halisia, kama hujui kiswahili utajua transformer (ukinitukana unapigwa ban)
wicalumtata
 
Last edited by a moderator:
Karibu Itamba Primary School, Shule ya kiswahili halisia, kama hujui kiswahili utajua transformer (ukinitukana unapigwa ban) wicalumtata
Sasa jamani tukiitwa hamnazo kweli tutalalamika kwa hali kama hii, mimi nimetembelea forums kibao za wenzetu hao Nchi zilizo endelea kweli kabisa sijaona maujinga kama haya mtu kauliza swali badala asaidiwe unakuta eti limtu linataka jamaa akajifunze kiswahili. kama wewe unakipenda sana siukawaelekeze bbc au ukawafundishe maana ndio kazi yao kubwa. Turudi kwenye mada, Mimi zamani nikiwa std 7 nilikuwa fundi redio hivyo ninauzoefu, Kitu kinachotekea hapo ni resistance ya Radio system ambayo ukizani unarudishwa kwenye transforma ambayo ni coil so umeme ukiongezeka kidogo huo mzigo unaenda kwenye coil nasio kwenye redio ndio maana inaungua.
 
Last edited by a moderator:
unazingatia idadi ya mizunguko? njoo TRAnsister
 
Last edited by a moderator:
yah, nimesuka pia nmezingatia sana suala la idadi, 300turns for secondary ,ni 30v-0-30v
 
habari wanajamvi, naomba msaada nataka kujua kwanin sometime transiformer zinaungua secondary coil, mfano mimi nina tabia ya kuacha redio inaimba usiku kucha, sasa jana usiku ilipofka saa7 usiku ntaona moshi unatoka kwenye redio, nkaamka nkazima socket switch, leo nachek nimekuta ile toroidal transformer imeungua upande 1, ambapo zinatokea zile output wires , asa hadi saiz sijaelewa chanzo ni nin?

Angalia diode za kwenye rectifier kama zinakidhi mahitaji ya output power ya transfomer.
 
Kama umesuka mwenyewe umezingatia guage ya waya?some time power transistor zinaweza zikawa na leakage,au kuna ambayo itakua imeshort hivyo kufanya system i drain high current kutoka ktk transformer,labda ndio sababu,vlevle angalia rectifire yake kama hakuna diodi iliyo short!pia transformer yenyewe uliisuka vzur?inawezekana insulator za waya kuna sehemu zlichubuka ndo mana ilipopata moto ikashort!si kawaida kwa transformer kuungua upande wa secondary!
 
Sasa jamani tukiitwa hamnazo kweli tutalalamika kwa hali kama hii, mimi nimetembelea forums kibao za wenzetu hao Nchi zilizo endelea kweli kabisa sijaona maujinga kama haya mtu kauliza swali badala asaidiwe unakuta eti limtu linataka jamaa akajifunze kiswahili. kama wewe unakipenda sana siukawaelekeze bbc au ukawafundishe maana ndio kazi yao kubwa. Turudi kwenye mada, Mimi zamani nikiwa std 7 nilikuwa fundi redio hivyo ninauzoefu, Kitu kinachotekea hapo ni resistance ya Radio system ambayo ukizani unarudishwa kwenye transforma ambayo ni coil so umeme ukiongezeka kidogo huo mzigo unaenda kwenye coil nasio kwenye redio ndio maana inaungua.
ThinkPad I LOVEthe way you are typing, Jamaa kasema Ntaona Koili Inatoa Moshi, Sheikh Yahya at Work? (maana ametabiri)

Mfundisheni kuandika, ndipo transformer ifuate, otherwise wote mtakuwa division 5 product! Ashakum.
 
Last edited by a moderator:
ThinkPad I LOVEthe way you are typing, Jamaa kasema Ntaona Koili Inatoa Moshi, Sheikh Yahya at Work? (maana ametabiri)

Mfundisheni kuandika, ndipo transformer ifuate, otherwise wote mtakuwa division 5 product! Asha
ww typing error hujui? Au unataka kuleta zako hapa, wenzako wote wameelewa ila ww unajifanya unakosoa kitu ambacho umeelewa. Kama huwez kunipa mchango wako ungeacha 2. Watu wengine bwana.
 
Naitwa Pokofame, sijui huyoAsha umemtoa wapi, au ndo mwalimu wako wa kiswahili, mwambie naye aje shule wicalumtata
 
habari wanajamvi, naomba msaada nataka kujua kwanin sometime transiformer zinaungua secondary coil, mfano mimi nina tabia ya kuacha redio inaimba usiku kucha, sasa jana usiku ilipofka saa7 usiku ntaona moshi unatoka kwenye redio, nkaamka nkazima socket switch, leo nachek nimekuta ile toroidal transformer imeungua upande 1, ambapo zinatokea zile output wires , asa hadi saiz sijaelewa chanzo ni nin?

Sijawahi kusikia tatizo kama la kwako la kuunguliwa na transformer ya redio. Tatizo hilo limekutokea mara ngapi? Ni redio ya aina gani unatumia? Kwa kawaidi transformer ni 240VAC/48VAC na kusuka chini mpaka 3VAC inatagemea tu na ukubwa wa redio yako. Ni hivi kiasi cha voltage induced (kuambukizwa) kwenye secondary coil inategemea na transfomer ratio yahani namba of turns kwenye windings, kwa step down transformer kama ya redio inamaana namba of turns za primary windings ni nyingi kuiko za secondary coil. Kwa hiyo kama AC voltage (input) iliongezeka ghafla basi hata kiasi cha voltage induced kwenye secondary coil itaongezeka pia. Sasa tatizo, kama koili za secondary ziipangiwa kupeba 3VAC na badaa yake (ghafa) ikaenda mpaka let say 6VAC inamaana zile insulation katika koil ya secondary haitaweza kubeba voltage kubwa hivyo itasababisha leakage ambayo itasababisha short circuit ambayo matokeo yake ni kuungua kwa koil. Kwa hiyo tatizo inaweza kuwa voltage fluctuation ama overvoltage. Tatizo jingine inaweza kuwa ni poor cooling ambalo inaweza kusababishwa na poor ventilation na hasa kama umetumia redio muda mrefu sana joto linapanda na huweza kusababisha kuungua kwa coil ama kitu kingine chochote ndani ya redio. Lakini pia inawezekana tayari kuikuwa na weak insulation katika coil. Kwa hiyo pengine cha msingi ni kuangaia aina ya redio kwa mfano za hawa wenzetu wa-CHINA hawajai quality hasa kama wanauza Africa. Ulaya wanawarudisha nazo hivyo wako makini sana na vitu wanavyopeleka ulaya kuiko wanavyoleta Africa.
 
Naheshimu mawazo ya ndugu nyuli hapo juu,nothng to top up!
 
Back
Top Bottom