Unatambua shida ya MTU safi sana kwa majibu mazuri wengine kama hamjui ni bora mnyamaze kuliko kucomment visivyofaa,sio wote wanaiba ila inatokea ukifanya restore kwenye baadhi ya Simu hata ukiingiza email ya zamani inagoma Mimi imenitokea kwenye Tecno N2 nahangaika nayo pia inataka e-mail nikiweka ya zamani inagoma