C Chachii Member Joined Nov 28, 2011 Posts 91 Reaction score 22 Oct 4, 2014 #1 naomba Masada cm yangu aina ya tecno p5 inatatizo nikiiwasha inawaka ila hairespond chochote Kisha inazimika na kubaki na maandish techno nimejaribu kutoa memori card ikakubali kufanya kaz ila program nyingi zipo kwenye card nifanyeje?
naomba Masada cm yangu aina ya tecno p5 inatatizo nikiiwasha inawaka ila hairespond chochote Kisha inazimika na kubaki na maandish techno nimejaribu kutoa memori card ikakubali kufanya kaz ila program nyingi zipo kwenye card nifanyeje?
P PETEROPTIMIST Member Joined Nov 16, 2013 Posts 80 Reaction score 17 Oct 4, 2014 #2 mwanzo wa kufa hiyo yangu m3 ilifanya hivyo hivyo mwisho wa cku ikazima kabisa hata neno tecno likawa halionekani tena
mwanzo wa kufa hiyo yangu m3 ilifanya hivyo hivyo mwisho wa cku ikazima kabisa hata neno tecno likawa halionekani tena
Ubavu JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 2,790 Reaction score 3,272 Oct 4, 2014 #3 reset your phone mkuu
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Oct 4, 2014 #4 memory ina virus, nunua nyingine... nilifanya.hvyo!!!!!
C Chachii Member Joined Nov 28, 2011 Posts 91 Reaction score 22 Oct 4, 2014 Thread starter #5 Ubavu said: reset your phone mkuu Click to expand... nireset bila memory card au! maana nikiweka memory haiwaki
Ubavu said: reset your phone mkuu Click to expand... nireset bila memory card au! maana nikiweka memory haiwaki
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,148 Reaction score 88,818 Oct 4, 2014 #6 Chachii said: nireset bila memory card au! maana nikiweka memory haiwaki Click to expand... ndio fanya hivyo. hard reset ur tecno. hafu maybe kweli sd card ina virus. jaribu nyingine ya rafiki yako. tecno ndio zilivyo mzee
Chachii said: nireset bila memory card au! maana nikiweka memory haiwaki Click to expand... ndio fanya hivyo. hard reset ur tecno. hafu maybe kweli sd card ina virus. jaribu nyingine ya rafiki yako. tecno ndio zilivyo mzee