Kwanza km una line ya voda iweke line 1 then hakikisha ina salio/kifurushi then ingia kwenye settings then dual sim settings ingia data iwe sim 1.ukichemka ni pm ili nikiingia tu jf niendelee kukupa msaada.