BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 364
- 816
Si inakuomba E-mail yako na password ilokuepo awali kabla ya ku reset? Jaza sasa ili uendelee mbele kama kawa kamanda....Simu aina hiyo imeniletea shiida kwenye App. zikawa hazifanyi kazi hasa wassp, na jf nikaamua ku uninstall na kuintall upya tatizo likawa bado nikaamua kufanya factory resert. Sasa ili niendelee kujisajiri inainyia kweny select wi-fi networks, ili ku skip kile kitufe hakiwi active na inaendelea kusearch bila mwisho.
Asante
Chukua SIM nyingine unga Wi-Fi. Then ingiza hiyo email and password zilizokuwepo.Tatizo ni hainiwezeshi kutoka kwenye kipengere hicho Wi-Fi, ile option ya ku skip haifanyi kazi kwani kutoka hapo ndo ningeweza kuendelea na taratibu zingine.
Hieleweki."UNHAPPY WIFI" ndio nini?Chukua SIM nyingine unhappy Wi-Fi. Then ingiza Hugo email and password ilizokuwepo.
Kama umesahau email and password bas pigs frp
Sorry unaunga Wi-Fi.Hieleweki."UNHAPPY WIFI" ndio nini?