Mimi sio daktari natoa maoni yangu tu. Kama unatumia dawa na mba zinarudi basi jua kuna kitu kinachochea hiyo hali. hakikisha hutumii kitana na mtu mwingine. Hakikisha taulo au kitambaa unachojifuta nacho hatumii na mtu mwingine. Badili mafuta ya nywele labda utaona utofauti. Tumia dawa ya griseofalvin (spelling) at least kwa mwezi mmoja. kila siku kidonge kimoja. usikose kumeza kwa wakati. Kama mdau alivyosema hapo juu nyoa nywele zako au punguza kabisa ili unapomeza dawa uwe unapaka antifungal cream.