Habari za sikukuu wanajamvi najua wote n wazima
Nina tatizo sugu la mba wa kichwani nimutumia mafuta na dawa mbalimbali lakini napata nafuu ya mda tu halafu tatizo linarejea msaada tafadhali kwa anayejua tiba nzuri
Mimi sio daktari natoa maoni yangu tu. Kama unatumia dawa na mba zinarudi basi jua kuna kitu kinachochea hiyo hali. hakikisha hutumii kitana na mtu mwingine. Hakikisha taulo au kitambaa unachojifuta nacho hatumii na mtu mwingine. Badili mafuta ya nywele labda utaona utofauti. Tumia dawa ya griseofalvin (spelling) at least kwa mwezi mmoja. kila siku kidonge kimoja. usikose kumeza kwa wakati. Kama mdau alivyosema hapo juu nyoa nywele zako au punguza kabisa ili unapomeza dawa uwe unapaka antifungal cream.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.