M macho89 Member Joined Dec 29, 2016 Posts 98 Reaction score 17 Sep 24, 2019 #1 Salam ndugu. Nina mzee wangu ambaye ana tatizo la tezi dume. Nahitaji kujua gharama za upasuaji kwa wanaofaham. Ningependa kujiandaa kwani hali ya kifedha sio nzuri na hana bima. Natanguliza shukrani.
Salam ndugu. Nina mzee wangu ambaye ana tatizo la tezi dume. Nahitaji kujua gharama za upasuaji kwa wanaofaham. Ningependa kujiandaa kwani hali ya kifedha sio nzuri na hana bima. Natanguliza shukrani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,102 Reaction score 184,848 Sep 24, 2019 #2 Poleni sana... Ngoja waje kukupa mungozo... Cc: mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,974 Reaction score 177,196 Sep 25, 2019 #3 Smart911 said: Poleni sana... Ngoja waje kukupa mungozo... Cc: mahondaw Click to expand... yeah pole yake sana
Smart911 said: Poleni sana... Ngoja waje kukupa mungozo... Cc: mahondaw Click to expand... yeah pole yake sana
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,585 Reaction score 12,439 Sep 25, 2019 #4 Poleni Cc Kingsmann
Steven Nguma JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,074 Reaction score 1,148 Sep 25, 2019 #5 Hili tatizo ni kubwa sana mimi Mzee wangu wamesema asipasuliwe sasa wamemwekea mrija wa kukojolea nimateso kwakweli.
Hili tatizo ni kubwa sana mimi Mzee wangu wamesema asipasuliwe sasa wamemwekea mrija wa kukojolea nimateso kwakweli.
gunah Senior Member Joined Feb 15, 2019 Posts 116 Reaction score 72 Oct 1, 2019 #6 macho89 said: Salam ndugu. Nina mzee wangu ambaye ana tatizo la tezi dume. Nahitaji kujua gharama za upasuaji kwa wanaofaham. Ningependa kujiandaa kwani hali ya kifedha sio nzuri na hana bima. Natanguliza shukrani. Click to expand... Pole san mkuu Na pia anaweza jaribu kutumia prostatrelax kam gharam nikubwa inazuia na inaponya tezi dume Wasilian nam kwa namb 0620466556
macho89 said: Salam ndugu. Nina mzee wangu ambaye ana tatizo la tezi dume. Nahitaji kujua gharama za upasuaji kwa wanaofaham. Ningependa kujiandaa kwani hali ya kifedha sio nzuri na hana bima. Natanguliza shukrani. Click to expand... Pole san mkuu Na pia anaweza jaribu kutumia prostatrelax kam gharam nikubwa inazuia na inaponya tezi dume Wasilian nam kwa namb 0620466556